Recent content by Rahky

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Nipe na mm bas ya Ustaw wa jamii boss wangu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Mbona walitangaza watachukua kuanzia 2015 Ila had wa 2009 wamechukuliwa so kila mtu na bahat yake n kuendelea kuomba Mungu tu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

    Ushawah kuitwa kwenye usaili?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

    Nilijua hata ukiweka kwa kutumia computer n sawa yaan ukiandika kwa kifupi jina lako n sawa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

    Duuh
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

    Sikuweka sahihi ya mkono kwenye barua yangu ya maombi ya kazi naweza kukosa nafasi ya kuitwa kwenye usaili?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
Back
Top Bottom