Recent content by RahimV

  1. R

    Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Niliona hii post na comment zake nikapuuza wakati naagiza mzigo. Sasa wamejua kunifundisha. Sio kampuni ya kutumia kabisa.
  2. R

    Inachukua siku ngapi kwa parcel ndogo kufika Tanzania ukitumia kampuni ya Ali express?

    Wenye uzoefu na kuagiza mzigo ali express, inachukua siku ngapi kwa parcel ndogo kufika Tanzania??
Back
Top Bottom