Wala hamna jazba japo nimekuambia tu ukweli kuwa watu hatufanani ktk kila kitu so, kama umepata dvs 1 ya points 7 n yako mi nimeomba ushauri kwa hcho nilichokipata na umbumbumbu wangu kama hauna ungejiachia tu na si kureply hcho ulichokifany...hvyo yani. ..jombaaaaaa
Sawa ndugu nashukuru kwa kashfa zako ww Mungu amekubariki uwezo wa ubongo mm ndo uwezo wangu uliishia kupata points hzo japo wanaojua nn maana ya elimu ndo wanaonipa ushauri ww unajua thats why ukapata hyo uliyoipata mungu akujaalie japo mm nimekuja kuomba ushauri na si kuanzisha league ya nani...
Thank you,,,hofu yangu ni points zangu za advance kuwa 4 kamili na huo mswaki ndo umenipa presha kabisa.. Je!ungenishauri niombe na kozi gani nyingine ambayo ni marketable..???
Natanguliza samahani katika hili mm n kijana nliyemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata ufaulu ufuatao,,
O-level
Math B
English B
Literature C
Geography B
History D
Civics D
Kiswahili C
Biology F
A-level
Pure Math D
Geography D
Economics F
General study E
Sasa nimeomba kozi ya (Bachelor's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.