Maana nikiwa kwenye mitandao hii ukisema ulipo jamaa wanaanza kujibu kuwa unataka tusikubishie kwa sababu uko US na mambo mengine petty. Kwa hiyo maskani yangu naiweka kwenye periphery ya discussion.
Kimweri alikuwa anazungumzia research methodology na wewe ulikuw unazungumzia research kwa ujumla, sikusema ame-narrow, isipokuwa focus yake ilikuwa narrow.
Kwa experience yangu ya huku boti za uvuvi na leisure huwa na separate infrastructures, sababu sehemu za uvuvui lazima ziwe na sehemu...
Unajua jamaa wanasema "You catch more flies with honey". Ukiwa unaongea na mtu, usifanye hoja yake kuwa ni mbovu hata kama hukubaliana nawe. Power of persuasion is empathy, na hata kwenye negotiations lazima umpe mpinzani wako a little something, mega wewe kipande, mpe na yeye kipande. Ama...
Sijakimbia, lakini ni maswali yako mengine siwezi kuyajibu kwa sababu sijui. Hamna aibu kusema hujui kitu fulani badala ya kulazimisha mchango wa kitu usichokijua.
Itakuwa poa, ingawa Bw Lusungo kasha nionya kuwa nitoe mchango unaoweza kusaidia TZ. Software nazoandika ni za ku-analyze satellite images, kwa Tanzania sidhani ni dili sana, labda kuangalia labda impact deforestation, au productivity ya kilimo; ingawa kama wakulima wanalalamika kubambikiwa...
Ingawa hapa nitakuwa najiset up kwa mashambulizi, lakini itabidi niseme kuwa nilikuwa nahofia kutoa mchango wangu hapa kwa sababu sina uzoefu na sekta ya elimu Tanzania na elimu yangu nilipata nje.
Hata hiyvo from anecdotal evidence niliyopata hapa na pale ni kwamba PESA inachangia kupika...
Mimi naona nimejichomeka hapa bila ya kujua backgrounds za wachangiaji. Mimi sina agenda yoyote hapa, kusema kuwa Jeshi la Marekani limechangia katika kugundulika vitu vingi, sikumaanisha hamna mtu yoyote mwingine aliyechangia. Lakini ukisubiri jeshi la CCM la akina Mwamuyangue kuanzaisha...
Watashabikia insofar as negative impact kwa biashara zao. Lakini since Kimweri alisema kuwa tafiti za vyuo sio babu kubwa kama za kampuni nilikuwa najibu kuwa kampuni zinazofanya tafiti zinafanya kwa matumaini ya kutengeza hela, siyo kusaidia jamaa. Na kampuni za uvuvi au hoteli generally huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.