Nyumba Inauzwa.
-Iko Mita 100 kutoka kituo cha abiria Victoria.
-Iko nyuma ya Tanzanite House na barabara ya Uporoto.
Maelezo;
-Nyumba yenye Sebule, Vyumba viwili kimoja Master bedroom, public toilet, jiko na baraza na baccon, choo cha nje, chumba cha kufulia na chumba cha stoo, CCTV camera...