Recent content by R.V.P

  1. R

    JamiiForums Tanzania Oral Interview, Dodoma University.

    mwenye orodha ya walioitwa naomba aiweke hapa tafadhali kwani nasikia wameweka kwenye web yao na huku bush kuna usumbufu wa mtandao.
  2. R

    JamiiForums Tanzania tanroad morogoro wameita

    post za cashier wameshapigiwa?kwani kila ninayemcheki anasema bado,au wewe ulikuwa post gani?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tanroad morogoro

    kapata kazi gani?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tanroad morogoro

    Tusubiri tuone yatakayotokea mkuu kwani ajira za bongo hazieleweki.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tanroad morogoro

    Kwani vipi mkuu?hata mimi nilifanya usaili dec ila matokeo bado.umeshapata habari yoyote?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TANROADS DODOMA.

    Mliofanya majibu yameshatoka?
  7. R

    JamiiForums Tanzania TANROAD Morogoro Updates

    Naomba kujua kama Tanroad Morogoro wameita watu kazini.
  8. R

    JamiiForums Tanzania PPF na NSSF

    Mfuko unaolipa vizuri ni PSPF kwa sababu wao hawaangalii umechangia kiasi gani kama mifuko mingine ila wanachoangalia wao ni mshahara wa mwisho wa mfanyakazi anapostaafu na ndio wanaoutumia kukokotoa mafao yake.Huu ndo mfuko wa serikali kuu na mifuko mingine yote imetokea hapo.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Any new updates for ndc - kibaha project

    Ulifanya post gani?
  10. R

    JamiiForums Tanzania 175 Waitwa kufanyiwa usahili - TANROADS REGINONAL MANAGER’S OFFICE – MOROGORO.

    Tanroad Morogoro kuna aliyepata matokeo?
Back
Top Bottom