naombeni msaada bha ndugu nasumbuliwa na tatizo kuwashwa sehemu za maumbile ya kijinsia. nimetumia dawa aina mbali mbali na hata kufika kutokuvaa nguo za ndani
lakini sipati suruhu, rafiki wa karibu yangu anaye nifahaamu vizuri ana dai labda ni kutoshiriki tendo la ngono cku nyingi lakini si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.