Recent content by quntus

  1. Q

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ongezeko la gharama za kuchukua vyeti katika Chuo Kikuu cha Iringa

    Wanafunzi na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Iringa tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ongezeko la gharama zinazotozwa wakati wa kuchukua vyeti, ambazo kwa sasa zimekuwa mzigo mkubwa kwa wengi wetu. Inadaiwa kuwa chuo kimeweka gharama ya Shilingi 100,000/= kwa ajili ya kusaidia mchakato wa...
Back
Top Bottom