Nyumba zinauzwa mwenge karibu na tra, ni za mmiliki mmoja, na zipo kwenye kiwanja kimoja,
zina hati. Nyumba zote zina vyumba vitatu vya kulala kimoja master, dining, sebule,
jiko, na choo na bafu public pia kuna kisima kinafanya kazi.
Bei ni shillingi 550,000,000/=.
Kwa mwenye kuhitaji...