Huyu mama ni mshenzi sana..Nashukuru sikuhizi simuoni,nipo mbozi..Mwaka 2016 alisababisha mdogo wangu asifanye mtihani wa form two baada ya kumzungusha na kumfanya ashindwe kutuma maombi ya kufanya mtihani wa form two kama private candidate..Alikuwa ni tatzo sana majibu ya...
Mi ni mgeni wa Jamii forums naomba mnisaidie malalamiko haya yafike kunakotakiwa..
Ni muhitimu wa chuo cha uuguzi cha yohana wavenza kilichopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe.
Naandika malalamiko haya ili yaweze kuwafikia wanaohusika na kuweza kuyatatua maana mimi binafsi nimekuwa muhanga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.