hello wana jamvi,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Computer Engineering. Natafuta kazi kwenye field hiyo.
Nna ujuzi na uzoefu katika maeneo ya programming(VB.Net, java), website development, web applications, database design and administration.
Pia naweza kufundisha masomo ya IT na physics na...