Recent content by Queen official

  1. Queen official

    Biashara ya viungo vya chakula

    Ni nzuri hasa ukipata soko
  2. Queen official

    Biashara ya viungo vya chakula

    Nipo kwenye hatua hiyo, ila mpaka sasa kunauwezekano wakukusanya mzigo mwingi wakuuza Jumla tatz cjui namna yakupata soko la jumla.
  3. Queen official

    Biashara ya viungo vya chakula

    Mbn nimesalimia jamani, Nakusanya kwa mkulima nauza nikiwa Tanga- Tanzania
  4. Queen official

    Biashara ya viungo vya chakula

    Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
Back
Top Bottom