Recent content by Queen Esther

  1. Queen Esther

    Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

    Mkuu, Wanadamu wakikuchukia wanaweza kukupaka kila aina ya matope!! Hata hivyo bado Mungu anasimama kutetea watu wake wawe hai au wamekufa. Kwa Wakristo haturuhusiwi kumjadili Marehemu maana hatujui wakati ana aga dunia alisemezana nini na Mungu wake! Na inawezekana hata kama alikuwa na dhambi...
  2. Queen Esther

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    CV imeondolewa Instagram ingawa watu wamesha download! Kwanini Prof Janabi ameiondoa CV aliyoiweka mwenyewe ktk kuanza kampeni ya safari yake ya WHO! Je! Ni kweli kuna mambo hayako Sawa? Tunasubiri alete mpya tulinganishe!!! Narudia tena kama TAIFA tunaenda kupambana na Africa nzima! Muda huu...
  3. Queen Esther

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Kwenye list ya MUHAS Jina lake halipo! Sasa lini alimsimamia Vipi Marehemu na mkewe mitihani? Hili nalo linachanganya!! Kama ni kweli alipata DISCO akiwa anatafuta degree yake ya MMED hapo Muhimbili basi ni vyema aweke record zake vizuri ni mwaka gani alifeli na kuondoka nchini. Associate...
  4. Queen Esther

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Sasa kama MCT haimtambui kama Daktari aliwezaje kufanya kazi kama Daktari Bingwa Siku zote hizo? Mbona kama hii Mifumo inatuvuruga? Sasa ni wangapi wana hii changamoto na mmeekaa kimya? Pili kama ndani tu wataalamu wenzake mmeanza kumkataa huko nje ataenda kushindana na nani? Reference point...
  5. Queen Esther

    Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

    Kaka Paskali asante kwa ujumbe muruwaa! Kabla sijachangia naomba unisaidie kujibu swali langu! JE! KUNA AWAMU AMBAYO DAMU HAZIKUMWAGIKA? Pili! Je! Kama watu wanafanya mambo yao huko wanauana au Wanaua na Rais hahusiki kwanini hiyo dhambi aibebe? Kumbuka Rais SAMIA alisema hajawahi Kuua mtu...
  6. Queen Esther

    Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Umeongea vizuri sanaaa!! Unamfahamu Robert Kenedy Jr ambaye Rais Trump amemteua kuwa Waziri wa Afya wa US? Unafahamu historia yake ya kupinga COVID 19 na chanjo kwa ujumla? Leo huyo Robert Kenedy ndio Waziri wa Afya na aliwapeleka watu Mahakamani kwenye suala zima la COVID 19!! Google...
  7. Queen Esther

    Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Hawa ndg zetu uliowataja wawili kati ya watatu wameshatangulia mbele za haki kama alivyotangulia huyu uliyemtaja wote RIP!!! Kipo kitu cha kujifunza ktk majira na mifumo tunayopitia! Ya kesho anayajua Mungu!!!
  8. Queen Esther

    Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    Mathayo 6:9-13 Utusamehe makosa yetu kama nasi tulivyowakosea waliotukosea!! Dini inahubiri UPENDO na MSAMAHA!! Mengine Mungu huyaruhusu ktk Maisha yetu ili ajitwalie UTUKUFU!! Watu wamemsahau Mungu na wamegeuka miungu watu!! HUKUMU YA MUNGU INAKUJA Sawa na Zaburi ya 35 na 109. Mungu mwenyewe...
  9. Queen Esther

    Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Usije kukuta hayo makanisa yameshakimbilia Tanzania! Mungu atusaidie! Ila kelele na vyombo vya habari vikiendelea kufichua huu utapeli Tz tutapona. Tusiache huu mzigo kwa Serikali pekeee!!!!
  10. Queen Esther

    DOKEZO Kuna wizi unafanyika kwenye mifumo ya control number, sijui nani atachunguza labda Rais kuagiza watu wa usalama wa Taifa wachunguze

    Rais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted? Jambo hili ni nyeti sanaaaa!! Kama kweli wewe ni MZALENDO, Nashauri tujadiliane suala hili kwa facts, figures and evidence if any; bila kumdhalilisha kiongozi wa nchi!!! Samahani lakini kama nimekukwaza!! JF Siku...
  11. Queen Esther

    DOKEZO Kuna wizi unafanyika kwenye mifumo ya control number, sijui nani atachunguza labda Rais kuagiza watu wa usalama wa Taifa wachunguze

    Kwa sasa maeneo yote ya Fedha mtandao kama Tigo Pesa, Mpesa nk hawataki ulipe kwa control number! Mfumo upo corrupted kwa kiwango kikubwa sana! Wanadai wakilipa malipo hayaonekani nk!!! Wapo wengine wanalipia baadaye unaambiwa malipo hayaonekani au hayajafika na mwishowe kama hukutunza ushahidi...
  12. Queen Esther

    Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu! Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:- 1. Ana ushawishi mkubwa...
  13. Queen Esther

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Acha bangeeeee!! Daktari wa Rais ndiye mtoa taarifa za Rais? Kasome tena Katiba!!
  14. Queen Esther

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Hatari sana! Ugonjwa wa Rais Magufuli ulijulikana zaidi kwa kina Tundu Lisu, Kigogo nk huku Makamu wa Rais akiwa hajui lolote!! Tena Rais akiwa amelazwa Hospitali ya viongozi! Wenye akili wazitumie vizuri kufikiri na kutoa majibu!! Kilichompata Rais Magufuli kinaweza kumpata yoyote! Ni vyema...
  15. Queen Esther

    Mzungu ana nyaraka zote za kumruhusu kuwinda Mamba, TAWA wamkamate waone!

    Huyu mnyama amewindwa wapi? Usije kuta ni kwenye Hifadhi zetu. Anayejua afafanue. Tanzania ni kubwa. Aidha, Nashauri mambo mawili; Sheria ya uwindaji ipitiwe upya ina mapungufu mengi na pili kuunga mkono juhudi za Royal Tour na Kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na inaendelea kufanywa na Rais...
Back
Top Bottom