Sawa mkuu. Hamna haja ya kuumiza kichwa sana. Mbweni kuna beach, vivyo hivyo Ununio, Kunduchi, Mbezi, Kawe, Msasani, Masaki, Upanga, Kigamboni etc. Na zote ziko kwenye mwambao mmoja kwa karibu kabisa ila value hazifanani. Kwa nini? That’s your HOMEWORK.