Recent content by Qualcomm

  1. Q

    Zitto: Hali ya uchumi ya watu wetu hapa Tanzania ni mbaya sana

    Zitto Uliisoma vizuri hotuba ya waziri wa fedha na mipango kuhusu kilimo kama kipaumbele, au ni kulazimisha kupotosha, nakupa tena eneo lililotaja kilimo kama kipaumbele: “(f) Mikakati ya Kuchochea Ukuaji wa Sekta za Kilimo 25. Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali katika kuchochea ukuaji wa sekta za...
  2. Q

    Zitto: Hali ya uchumi ya watu wetu hapa Tanzania ni mbaya sana

    Zitto Wakati mwingine upotishaji si kitu kizuri, eneo la uchumi unataja bila woga maji si kipaumbele je ulisoma vizuri wasilisho la Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mpango, nakusaidia kipengele chenyewe/ “(c) Miradi ya Kufungamanisha Maendeleo ya Viwanda na Maendeleo ya Watu 22. Mheshimiwa...
  3. Q

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    335. Mheshimiwa Spika, katika mwaka wa fedha 2017/2018, Kampuni ya Ndege (ATCL) imetengewa shilingi milioni 500,000 kwa ajili ya kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege 3 ambapo ndege mbili (2) ni za aina ya CS 300 zenye uwezo wa kubeba abiria 127 kila moja na ndege kubwa moja (1) ya masafa...
  4. Q

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Uendelezaji wa Viwanja vya Ndege vya Mikoa 306. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2017/2018, mradi huu umetengewa jumla ya Shilingi milioni 17,390.00 fedha za ndani. Kati ya fedha hizo Shilingi milioni 15,270.00 ni kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa viwanja vya ndege katika mikoa ya Geita, Iringa...
  5. Q

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Usipotoshe miradi hiyo yote Bunge limepitisha na ipo ktk vitabu vya Wizara husika Ujenzi na Afya. Waambie wabunge na wewe muwe mnasoma bajeti vizuri.
  6. Q

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Upotoshaji ulidouble? Unajua Mkapa aliacha uchumi ukikua kwa asilimia ngapi? Tuwe waungwana tu
  7. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2017/18: Uendelezaji wa Viwanja vya Ndege vya Mikoa 306. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2017/2018, mradi huu umetengewa jumla ya Shilingi milioni 17,390.00 fedha za ndani. Kati ya fedha hizo Shilingi milioni 15,270.00 ni kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa viwanja vya...
  8. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Usipotoshe, mradi huu upo ktk vitabu vya bajeti angalia vizuri tatizo hamsomi vitabu vya bajeti na ulipitishwa na wabunge hao hao wanaotoa povu! Jamani fedha ya umma matumizi yake ni yale yaliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  9. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Sipendi kubishana kwa kutukanana, pitia vizuri aliwahi kuwa Board Member pale, kuna mambo mabovu yalifanyika. Usinibishie!
  10. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Muadilifu, unajua alichokifanya NSSF? Au umeziroin NBAA tu.
  11. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Upotoshaji wa hivi ukidekezwa utakuwa sumu ni kuudhibiti tu, vyombo vinavyohusika vitafute volume one (mapato ya serikali) mwaka wa fedha 2016/17 fungu la 7 watakuwa wamemaliza mchezo, hana pa kukimbilia huyu tapeli wa kulaghai!
  12. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Huyu itapendeza akikamtwa na kuhojiwa na vyombo vinavyohusika kwa kuwa ameupotosha Umma kwa takwimu ambazo si za kweli, uzuri vitabu vya bajeti vyote vipo na ni public , mapato na matumizi ya serikali yapo wazi kabisa kabisa . Huyu mtu ni mpotoshaji sijawahi kuona!
  13. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Gedha Fedha hii ilipitishwa na bunge ktk bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 kupitia kitabu volume one (vyanzo vya mapato) fungu namba 7 la msajili wa hazina, ipo pale hiyo hela imekadiriwa gawio litokanalo na BOT, eti anatokezea mtu anaupotosha umma kuwa hela hiyo ilipatikana haikuwemo ktk...
  14. Q

    Zitto Kabwe: Serikali yatumia tshs 300 bilioni gawio kutoka Benki Kuu bila kupitishwa na Bunge

    Ujinga mtupu, hicho kilikuwa ni chanzo cha mapato kilichokadiriwa kwa mwaka wa fedha 2016/17 na kinakusanywa na msajiri wa hazina kama gawio/dividend zingine mfano zile za NMB , PUMA n.k kisha huwekwa kwenye akaunti maalum ya Treasury Register/TR kisha kuingizwa mfuko Mkuu wa serikali. Hela...
Back
Top Bottom