Recent content by quadrupleA

  1. Q

    Lipa namba imekuwa kero sana

    Natafta suruhisho...ugawaji waline za lipa namba mamlaka ziangalie tena.....hakutakiwa na haja ya kufanya bihashara ya kutoa pesa lasivyo hii kwangu kesho kwa mwingine..
  2. Q

    Lipa namba imekuwa kero sana

    Wadau Mimi ni mfanyabihashara ya Tigo pesa na Mpesa, nimekuja kugundua ghafla commission imeshuka, na kugundua kwamba binti niliye muweka dukani ana line ya lipa namba ya Tigo, so mteja akija kutoa pesa ana mshawishi atumie lipa namba na akitoa mfano elfu 99000 anakata 1500 yake cash. Mkononi...
  3. Q

    Viatu vya kike vya mtumba

    Wadau naomba ushauri kwa mwenye uziefu na bihashara hii, nawaza kuanza bihashara ya viatu vya kike vya mtumba nilikuwa na waza kununua baloo la fist grade UK na kuuza rejareja kwenye duka langu na online. Ushauri please!
Back
Top Bottom