Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu.
Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka.
Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni kutokana na giza ila mpaka nimeona sasa ni kawaida.
Uwajibilaji uko wapi? Hizo nguo za toka February...
Shule za advance zilifunguliwa July 1 2024 na tukapewa maelekezo ya kutumia mtaala ulioboreshwa.
Tukapeenda na seminar zilizochukua takriban siku 3, kutoka mtaala uliopita kuna masomo yalifutwa kama General studies(GS), na kuna yaliyobadilishwa kama Commerce kwenda business studies, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.