Hapo umeeleza ukweli ndugu
Hiyo ni kanuni katika maisha kuwa anayekujua ndiye atakayekumaliza,
Khy ili uwe safe lazima usijulikane ndani waache wakujue kwa nje hiyo ni kanuni mhm ktk ulinzi makini na hata ktk maisha ya kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.