Recent content by Qamarah Beldon

  1. Qamarah Beldon

    msaada tutani

    Mikoa yoyote ile mkuu simbamtene, ila itakua vizuri zaidi ikiwa ni pwani na dar es salaam
  2. Qamarah Beldon

    msaada tutani

    mkoa wa morogoro,pwani na dar es salaam.. Mikoa mingine pia sawa haina shda
  3. Qamarah Beldon

    msaada tutani

    habari zenu wakuu.. Naomba msaada wa shule ipi ya private ya wasichana yenye academic perfomance nzuri na ada uwezo wangu kwa mwaka ni milion 2 nataka nimpeleke binti yangu kidato cha kwanza mwakani
Back
Top Bottom