Ndugu zanguni! Wakati watu wanatoa shuhuda humu nilikua nahisi haiwezekani, safari ilikua ndefu sana written za kutosha na oral mbili plus kukosa oral! Hatimaye wakati wa Mungu wakati sahihi umenifikia! Database imeniona nilifanya oral ya mwsho february! Na post ilihitaji watu wawili tu tukaitwa...
😂😂😂kabisa! mm nilisoma udsm pale, ila jamaa zangu wenye GPA kubwa walinyakuliwa karibu wote hata kabla ya Graduu! Nikaona wadogo zangu wote nitawasihi wakifika chuo wahakikishe tokeo liko safi hata kama wasipopata ajira ila ni hazina!
Course sijajua ila waambie waaply chuo ambacho kidogo ni rahisi kupata GPA kubwa itawasaidia mbele ya safari.. sio lazima lakin honestly GPA kubwa ni hazina!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.