Recent content by pvanesa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba kwa ajili ya holiday Dar es salaam

    asante mkuu kwa offer yako, but kama ulivyoona pendekezo langu ni kwamba nahitaji one master bedroom and kitchen umeme, maji na fence muhimu. hayo mazaga zaga mengine si muhimu sana kwangu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba kwa ajili ya holiday Dar es salaam

    Habari wanajamii wenzangu, mimi nahitaji nyumba kwa ajili ya holiday, kwa miezi 4 yaani kuanzia mwezi wa kumi na moja mwaka huu, mpaka wa wa pili mwakani.nahitaji nyumba ambayo ni fully furnished one master bedroom and kitchen, iwe na maji, umeme na fence. iwe Dar es salaam napendelea maeneo...
Back
Top Bottom