Ni kwasababu hatupo uko, na hatuongelei ushindani ila kama kuna dosari ni vizuri isemwe mkuu, sio kusifia tuu, mi nimetoa ili anaekuja udsm as a leader au student au taasisi zinazohusika zijaribu kuziba matundu yanayochafua elimu hii.
Kasome wew au mtoto wako atakuja akwambie.
Huenda o level na advance hamna mtu katika ukoonwenu alie wahi pata 1:12 na 1:7 advance na vyeti vya taaluma, isiyoshe ukute nyie ndo wale wa baed mnaonea wivu kozi nyingine sio.
Kama huna unalojua ni bora ukauliza au ukakaa kimya tukajua pakukusaidia...
1. Kama pcb rahisi katafute 1;7 uje udsm mchas afu utoke salama. Yani ufundishaji wao sio mzuri na rafiki kwa mwanafunzi nadhani unaweza pitia comment nyingine ukaelewa.
2: mpka nikapata 1;12 na 1;7 na best in physics, math na bio you can imagine kama sikua makini ila sytem unayoenda sasa kama...
Ufundishaji wao sio mzuri na assessment zao hazijawahi kua sawa na chief anakua adui wa student kiasi kwamba watu wakiyaona magari yao tu wanajificha sasa ndo nini hii. Hasa pediatrics yan sio friendly yani kuuliza swali unaanzia wapi.
Anyway hujui kinachojili.
Nadhani wazo la magufuli kufunga...
Hakuna mtu anadai marks za bwerere anaejua apewe na asiyejua asipewe kwa utaratibu mzuri usimpe mtu torture mpaka akahisi kusoma au kufanya mtihani ni vita kama tupo Ukraine.
Mitihani ya udaktari hasa clinical ina bias nyingi mno mno, wakati mwingine mood au matatizo ya examainer ya kifamilia...
Ungejua yanayojiri usingesema inawezekana umesomea muziki pale nyuma ya udbs ila huku rushwa na unyanyasaji umekithiri na hata ukilalamika hamna anaekusikiliza. Mi nimetoka vizuri ila ukiangalia majority walikua na division 1.8 mpka 1.3 na ndo best students uko walikotoka ukifika unakutana na...
😅😅 Ulihisi madaktari hawapati vimeo au, ni kama kozi nyingine ila kuna utofauti mkubwa katka mitihani, mkubwa mno kiasi kwamba mudi ya msimamizi wa mtihani inaweza kukufanya ukadiscontinue kabisa
Peleka vyuo vya private then ukishindwa ada peleka serikali ila udsm kiwe cha mwisho kuna upuuzi...
Yani ndugu zangu mimi ni mmoja wa waathirika wa uhujumu na ukosefu wa uadilifu na ubora wa elimu katika chuo cha udaktari kilicho anzishwa na UDSM wote tutakubaliana kwamba, kwa udaktari unatolewa ktika vyuo vya serikali unachangamoto ila kwa mchas imedhidi mpaka watu wanaamua kuacha au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.