Recent content by pute kitogo

  1. P

    SoC04 Nani wa kupenda taifa letu kama tunavyopenda vyama vyetu vya siasa

    😭NANI WA KUPENDA TAIFA LETU KAMA TUNAVYOPENDA VYAMA VYETU VYA SIASA?😭 Taifa au chama? Kila nikiangalia sioni natafuta sijapata bado, sio wazee, vijana hata watoto kila moja mahaba kwa vyama vyao kuliko taifa lao ubaya huu hawaoni kuwa ni tatizo bali wanaona ni ufahali, ukiuliza watakuambia...
  2. P

    SoC04 Timu za mpira wa miguu ziwe huru kibiashara

    Kuna moja atakandamizwa bro kuna ttz kubwa kwenye hili maana wengi hawajui biashara ya mpira inahitaji nn
  3. P

    SoC04 Timu za mpira wa miguu ziwe huru kibiashara

    TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
  4. P

    SoC04 Safisha eneo lako Dar iwe safi

    Tukiamuwa tunaweza ila kila jambo linatakiwa kuwekewa Sheria na kanuni tunaweza serikali ikiamuwa
  5. P

    SoC04 Safisha eneo lako Dar iwe safi

    SAFISHA ENEO LAKO DAR IWE SAFI Hapo zamani za kale ilijulikana kama mzizima ila kwa sasa hivi inaitwa Dar es salaam ni mkoa wa nchini ya Tanzania pia ni moja wapo la jiji la Tanzania, inawakazi wengi sana kuliko mkoa mwengine wowote Tanzania na ni mkoa mdogo kieneo ukilinganisha na mikoa...
  6. P

    SoC04 Kwanini Daftari la Kudumu la wapiga kura watanzania wasijiandikishie NIDA

    KWANINI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WATANZANIA WASIJIANDIKISHIE NIDA Kubadilisha mavazi, Tabia, Magari, Nyumba na Majumba sio dhambi na sio kosa kisheria kama vitu vyote vyako hivyo kubadilika sio tatizo basi ni kheri tubadilishe Tanzania ya sasa kwa mafanikio ya baadae. Kutangaza nafasi...
Back
Top Bottom