Ttz baadhi ya watanzania tunajifanyaga wajuaji kila kitu. Halafu tukishalizwa tunaanza kuilaumu serikali, serekali ikifanya kazi yake tunaanza tena kuikosoa, tuipe serikali nafasi ikichemka ndio tuikosoe.
Mkuu kabla ya Muhongo nguzo ilikuwa 1.1milion, baada ya yeye kuchukua wizara nilivuta umeme kwa laki na 76 elfu, halafu kuna watu wanakuja na kusema eti hafai blaly fuuuu. kumbe kabana dili zao
Mininafurahaaa utadhani dingi angu kachaguliwa. anayepinga uteuzi wa Muhongo lazima atakuwa anakaa Line ya mochwari manake umeme hauzimi mda mrefu.+au nyumba za Nhc ambazo unakuta umeme ulishavutwa kbs.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.