Recent content by pussi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Waliopata email ya training confirmation hd co ltd arusha.....

    Hata mi naona hiyo ndio njia rahisi wakate huko huko,sasa kama wanatulipa kuna aja gani ya sisi kulipa 10,000,yaani uombe kazi alafu usafiri mpaka training ilipo then ulipe na pesa juu duhhhhh hawa jamaa bana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Waliopata email ya training confirmation hd co ltd arusha.....

    Wadau nimepata email kutoka kwenye hiyo kampuni HD CO LTD iko Arusha ila mimi nina wasi wasi na hawa watu mimesearch kila mahali sijaiona hii kampuni alafu still wanatwambie tulipe tsh 10,000 kwenye m pesa kwa ajili ya training hapo hapo eti watatulipa per diem kila siku kwa siku sita tukiwa...
Back
Top Bottom