Kuna rafiki yangu ana miaka 28 sasa, na yuko mwaka wa pili katika chuo flan hapa nchn, katka maisha yake hajawah kukutana na mschana ambaye anawez kumuoa, kwa sasa ana miez 6 yuko na mahusiano na mschana flan yuko form 3, ana miaka 20,mschana mwenyewe yuko conscious na masomo na yuko vzr ingawa...
Ndugu wana jamvi, tafadhali naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa hli janga,mimi mwanachuo mwaka wapili sasa, nina mschana ambaye nimekuwa nae kwa miaka 2 sasa, ofkoz mwanzon nilipanga kuwa nae kama mchumba, lkn kadr sku zlivyozd kwenda nilikuta ana mapungufu mengi ambayo yalnifanya niondoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.