Recent content by puntet gobongo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye kibamia

    Vibamia vipo na hakuna dawa kama unacho kata balimi/konyagi maisha yasonge mbele,,tafuta kitu cha kukuondoelea stress tu hamna cha ziada
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutibu shida ya kibamia

    Yeah kweli kabisa, kitu nilichojifunza ni kutomcheka wala kumkebehi mtu yeyote anayepitia hali flani inayoonekana sio ya kawaida,na kitaalamu zaidi kama unashida yoyote jikaze jitie moyo nenda hospitalini kwa ushauri wa kidaktari
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Amini kwamba, Mimi nishasikia Mtu aliyejinyonga na sababu kuu ilikua hili hili tatizo ambalo watu wanalifanyia mzaha hapa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Umesema ukweli,ila hapo kwenye kupambana ikue hamna uwezekano huo ,,yeye atafute peace of mind aishi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Hapana ukweli uwe ukweli maumbile madogo yapo na makubwa yapo pia.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Umesema sahihi kabisa,, mwambie Huyo mwenzi wako kama atakubaliana na wewe ishi nae akikataa basi ndo maisha yenyewe haya
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Hapana you wrong ,money doesn't solve everything we who are poor believe so but it isn't the case always, search ehud arye laniado
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Search Ehud Arye Laniado utajua Huyo upasuaji huwaga unacomplications kiasi gani
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Hamna kitu ,, ongeza urefu wa kimo basi kama wewe una futi 5 7" ongeza uwe futi sita, afu unapiga na biti kabisa eti kama hujui tulia
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Umenena ukweli mtupu,,that's it ,kama ni hela tafuta kwa manufaa yako ,kwa kua maisha yako yashakua hivyo ukimpata ataekupenda hivyo ulivyo sawa usipompata basi,
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Hamna kitu apo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Of course hamna dawa , watu wanachukua ile hali ya desperation kama fursa ya kupiga hela!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Unadhani Huyu alieandika hapa hana kazi!?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Ni hali ya maisha tu.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Hela ni hela, na maumbile ya binadamu yanabaki palepale usidanganyike
Back
Top Bottom