Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC...
Sasa hapa unataka Madaktari wakujibu nini ndugu yangu maana unalalamika tuu, unashindwa kuelewa kua daktari hasa wale mabingwa kuna Intetnal Standards ambazo haziwabani kukaa kwenye vituo vyao ya kazi muda wote na ndio maana kuna calls.
Daktari siyo nesi anayetakiwa kukaa na mgonjwa kutwa...
Ni kweli sisi wenye tunalijua hili tukio na wahusika ni Kingu mwenyewe, Karibu wake aitwaye Muna, Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Puma, green guard kadhaa ndio walitaka kumuuwa Petter. Kingu ni zaidi ya muuwaji
DC tutakuumbua vibaya wanaikungi tunajua yote yanayoendelea hivi sasa. Kuna taarifa za chini kwa chini pesa za Makundi ya vijana zinapigwa na makundi hewa yanayotengenezwa na Makada wa CCM. Mseme pesa za makundi maalum wanapata watumwa aina gani? Kwa bahati mbaya sana zinaliwa hazirudishwi...
Yawezekana wewe ni mpuuzi kati ya wapuuzi wachache waliopo nchini. Ushahidi upi wa Denis Urio unamtiaje Mbowe hatiani? Ushahidi kuthibitisha kua alipanga ugaidi ni upi zaidi ya maneno tu ya uongo? Aieleze mahakama kwa uthibitisho wowote kua walitaka kufanya ugaidi. Maana wale vijana...
Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi.
Jery Muro kauli zako...
Diallo alisema vichaa wasiwe wanapewa madaraka.Kwanza alikua na kesi ya rushwa TBC,aliwahi kutoa matusi ya udhalilishaji akiwa Yanga, hivi Mama kwa uchamungu wako unateuaje huyu mtu Mama?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.