Recent content by ptrick

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mm nafanya mtihani kidato cha sita na ninachukua HKL lkn nilifanya makosa kwenye usajili GS sijafany

    Yote sawa ila mm nafanya mtihani kama PC na mambo mengi yalifanyika kwa msaada wa watu nilibanwa na shughuli hivyo ulichoomba ndicho baraza walichokukubalia SK hizi kila kitu ni document kama karatasi yako haionyeshi utafanya somo husika huwezi kufanya.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mm nafanya mtihani kidato cha sita na ninachukua HKL lkn nilifanya makosa kwenye usajili GS sijafany

    Sorry nimekosea ila nimeandika vzr kwenye page nyingine
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hapo inakuwaje kuhusu kuendelea na elimu ya chuo

    Mm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka nirudie mtihani.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mm nafanya mtihani kidato cha sita na ninachukua HKL lkn nilifanya makosa kwenye usajili GS sijafany

    Naomba wa kimawazo hapo inakuwaje
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kilimo wameshaanza kupokea maombi?

    WWW.ilemicollege.com
Back
Top Bottom