Recent content by Proffesor

  1. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Aiseee niliteseka sana aiseeee
  2. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Wewe jamaa bhana dahhhh aiseee.....
  3. Proffesor

    KERO Barabara Kuu ya Mwanza hadi Arusha, eneo la Katesh magari yanapita kwenye mchanga kukwepa lami yenye mashimo mengi

    Aisee hii bara bara haina hata miaka 10 lakin bara bara imeharibika vibaya mnoooo. Inavyoonekana Makandarasi alijenga chini ya kiwango sana.. kwa sasa hii bara bara inatakiwa ifumuliwe upyaaa kbsaaa from the scratch.. kabla ya kufumuliwa yote atafutwe mkandarasi aliyeijenga anyongwe kbsaa mpaka...
  4. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Watu wanaopinga ni either hawajakutana na usumbufu huu wa kubanwa na mkojoo mkali ukae nao masaaa 8.... safari unaiona chunguuu....
  5. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Latra waweke hiyo sheria.. iwe ni lazm.... halafu kuwa na choo n kitu muhimu.
  6. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Kudai nauli zaidi kwa sababu kuna choo ndani ni utapeli.Wajitafakari.
  7. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Acha kabisa kaka.... just imagine zaid ya masaa 8-9 umekaaa na haja ndogo. Na jinsi inavyochoma mpk kibofu kinataka kupasuka...
  8. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Kudai nauli zaidi kwa sababu kuna choo ndani ni utapeli.Wajitafakari.
  9. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Kaka saiv muhimu sana wifi in every place...
  10. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Ni ushauri kwa Latra.... Ma Bus ya usiku choo n muhimu
  11. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Kwa sasa hali ya hewa n ya ubaridi.. tena ubaridi mkali.. kupata haja ndogo mara kwa mara n lazm... inaumiza sana kuona mtu mzima kwenye gari anateseka kisa kutaka kukojoaa... na kalipa nauli
  12. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    Haja ndogo inakuja ghafla .. huwez subiria mpk hoteli au porini.. bus zinatakiwa ziwe na choo ndani.. especially bus za usiku...
  13. Proffesor

    Ushauri kwa LATRA: Mabasi yasiyo na choo yasisafiri usiku

    LATRA tafadhali haya Mabasi ambayo hayana Choo ndani, yasisafiri usiku. Bus lina abiria 60.. kati ya hao abiria 60 kuna wenye magonjwa mbalimbali. Kusafiri umbali wa masaaa 12-18 usiku bila kupata haja ndogo ni hatari sana. Mfano mimi nimeteseka sana kusafiri na Bus usiku .. haja ndogo ilikuwa...
Back
Top Bottom