Recent content by Proffesor Kimaro

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

    Ukombozi wa nini? Mpaka sasa sijafahamu Lissu atakomboa nini!
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

    Kumsikiliza na kumuona haimaanishi kuwa amekubalika. Hata Yesu nae alifuatwa na wengi lakini sio wote waliomfuata walimkubali.
  3. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

    Haya ni maandalizi makuu kwa ajili ya kuchukua uraisi wa 2025. Ila kwa uchaguzi huu wataishia kugawanya wananchi wapinzani ambao ni wachache na kuipa CCM ushindi wa kishindo.
Back
Top Bottom