Wale pia ni binadam ndugu wanajua nini maana ya matatizo,unaeza enda kwa afsa elimu wilaya unajieleza ulivyo na vithibit vilivyopo,na yey anaweza lipeleka ngazi ya juu mwsho litapatiwa ufumbuzi,maana kuenda direct hslb pana usumbufu fulani kukutana na wahusika pale
Dirisha la kukata rufaa lisha funguliwa bila shaka,anaeza akaenda Mungu atamsaidia atapata tu,au akaptia kwa uongozi wa wiliya akajieleza na kupeleka vyet vyake wanaweza mfkishia kilio chake,makosa yanakuepo maana hatujakamilika wote
Anaweza akawa anaendelea kusoma maana kweny vpnd hawakagui ID,huku akiwa anasubiri na test huwa znaanza juma la nne hivi,so atakua kashaona jna anafanya usajir
Iyo mbona hata mwaka wetu 2015 iltokea,lakn baada ya mda majina yalkuja tena,na maelezo washa yatoa kwamba kuna makosa yalifanyka,bac wasubir majina yatatumwa tena vyuoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.