muuzaji wowote wa Vifaa vya Electronics na Ambae Mtaalam
Ukimwambia
Nahitaji TRANSISTOR aina zote
lazima Akuelewe
naana Kupatika aina za Transistor Ambazo Anazo ikiwa kama Hana Model zote.
KWAHYO WEWE NDO UNAPASWA UONE AIBU KWA KUSHOBOKEA VITU VISIVYO KUHUSU...
Tatizo Ulilonalo ww ni Upunguvu wa ufikili na Siwezi kukulaumu kwa hilo.
Nna Masters ya Electronics
•Siku zote unapokuwa una oda mzigo kwa jumla bas ina paswa ueleze kwa Ujumla.
Mfano:
Unapotaka fungua kampuni ya Kuuza magari Leja leja inatakiwa...
Katika kila nilichokiandika
Nahitaji Aina zake zote na Namba zote
Ambazo zitakuwa zipo Dukani Kwako.
Mfano nilivoandika Transistor maana ake na hitaji Aina zote za Transistor
Kwahyo kwa kila nilichoandika Nahitaji Aina zake zote na Namba zake zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.