una uhakika upi unaokufanya useme kwamba ulimwengu ulijiumba na hauhitaji muumbaji. hii ni sehemu ya muhimu sana ambayo nataka kuijua
pia nionyeshe mfani wa ujinga niliouandika, huenda hujaelewa kisha nitakuelewesha nilichomaanisha
kama definition ndo hiyo, Umeitoa kwa Kiranga unajidanganya na ume mezeshwa tango pori
Theist tuna amini ulimwengu haukujiumba bali kuna chanzo cha kila kitu, Nguvu ambayo ikikwepo yenyewe bila kuumbwa ( Necessity Being ) akili ambayo ndo chanzo cha formula na codes zote zinazouendesha...
sasa kama mnataka kujua si inamaanisha hamjui bado ? je jibu la uhakika la kwamba Mungu hayupo mmepata wapi ?
kama standard inayotumika kutofautisha imani na kujua ni sayansi na sayansi yenyewe inasema haijui, kwanini hautaki kukubali kwamba ninyi pia mna amini ?
sisi tukiambiwa tuna Imani hatukatai.
kwanini nyie mkiambiwa mna imani mnakataa wakati nyie manaanini kwenye kuto kuwepo. belief in absence
hamna ushahidi na uhakika wa kutokuwepo ila kwa sababu zenu mmeamua kupinga na kusema mna. uhakika kwamba kitu hicho hakipo
kwanini hamkusema hamjui...
kuna muda ulitoa mfani ea nyoka nikajibu:
Mfano wako unafanya kazi kama tunazungumza kuhusu nyoka wa kawaida kiumbe anayeishi ndani ya ulimwengu unaoweza kupimwa.
nakama ulivosema kwamba mimi ndiye ninayedai, hivyo mimi ndiye natakiwa kuthibitisha
lakini hap tunazungumza kuhusu chanzo cha...
sasa kwanini atheists mnasema kwa uhakika 'Hayupo' kama unasema hakuna ushahidi ?
kwanini hukusema haujui ?
umesema dai la kwamba Mungu yupo limeanzia kwetu, kwanini umekuja na jibu la moja kwa moja kua hayupo ? kwanini usingebaki kusema hujui ? umepata wapi jibu hilo ? wakati huohuo sayansi...
Hakuna sababu za wewe kutakiwa kuamini upande fulani, Hapa nimeleta majadiliano baina ya pande hizi mbili níkiamini majadiliano haya yatatoa insight kwa wengine wote kuona pande ipi ina hoja ipi na pande ipili ina hoja nyingine.
katika pande hizi mbili zote, Sayansi haina uwezo wa kusema upande...
Nimewaita ili mjantujadiliane najua sayansi haiwezi kuthibitisha uoande wowote
na hilo ndilo unalolikimbia wewe.
mimi sijawahi kudai Mungu amethitbitishwa 100%. na sayansi
lakini ninadai kwamba hypothesis yangu kwamba nguvu yenye akili ndio chanzo cha ulimwengu, inafanya kazi vizuri...
Nilisha kwambia wazi kwamba Natumia AI kama chombo cha utafiti kama vile unavyotumia Google, vitabu, au encyclopedia. na naweza kusema ni chombo changu kikuu cha kuoata details kwa haraka, chombo sio tatizo hata siku moja swali ni je, mawazo yanayotolewa yana mantiki au la?
Hoja mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.