Recent content by Prof Koboko

 1. Prof Koboko

  Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

  Yaani unawaambia watu kesho shahidi apande kizimbani aendelee kutoa ushahidi wakati bado hujatoa uamuzi wa mapingamizi ya upande wa utetezi? Bado watu wasubiri uamuzi gani wakati huyo shahidi utetezi wanapiga kua hana sifa?😂😂😂 Huyu Jaji ana matatizo gani? Nitawashangaa sana mawakili wa...
 2. Prof Koboko

  Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

  Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke. Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi...
 3. Prof Koboko

  Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

  Angekataaje kujibu swali wakati alikua na majibu hata kama si ya kuridhisha?
 4. Prof Koboko

  Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

  Alichozungumza ndicho alichoambiwa na waliomwandalia taarifa
 5. Prof Koboko

  Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

  Hivi unaelewa maana ya taarifa za kuandaliwa? Alichozungumza ni hicho alichambiwa kuhusu kesi. I'm sure 100% alitegemea swali kama hilo toka BBC
 6. Prof Koboko

  Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

  Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu? Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona...
 7. Prof Koboko

  Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

  Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu. Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu...
 8. Prof Koboko

  Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

  Ni kujitafutia laana za bure kwa mwenyezi Mungu. Kama wewe ni Jaji halafu ukatumia nafasi yako kuumiza wengine wakati ukweli unaujua, pasina shaka wewe adhabu ya Mungu iko juu yako .Siyo kila mtu anaweza kua jaji
 9. Prof Koboko

  Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

  Asante sana Bwashee, tutaendelea kutumia taaluma zetu kuusema ukweli. Hatukuona kunyamazia uongo
 10. Prof Koboko

  Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

  Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na...
 11. Prof Koboko

  Ilikuaje Power Kaaya kuhukumiwa haraka kwa kesi ya ugaidi?

  Hivi ilikuaje Power Kaaya aliyemaliza kutoa ushahidi leo mahakamani yeye na mwenzake walikamatwa haraka, wakashtakiwa haraka na kisha kuhukumiwa haraka kwa kesi ya Ugaidi bila kuunganishwa na Wenzake hawa kina Mbowe na Walinzi wake? Kwani kwa ushahidi huu aliotoa mbona hakuna utofauti wa kesi...
 12. Prof Koboko

  Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

  Yaani yeye Mbowe pekee yake na walinzi wake tu wapange kufanya vitendo vya ugaidi maeneo mbali mbali nchini bila viongozi waandamizi wa CHADEMA kujua? Yaani asijue Katibu mkuu, wasijue Manaibu makatibu wakuu,wasijue viongozi wa BAWACHA,BAZECHA wala BAVICHA? Achilia mbali la kumdhuru Sabaya...
 13. Prof Koboko

  Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation

  Hii ni kweli kabisa. Kwa bahati mbaya sana Polisi hawezi kukamata watu waliokasirika nchi nzima. Tupo million 60 wajue hivyo
Top Bottom