Recent content by Prof kijibabu

  1. P

    HESLB acheni kuwavumilia hawa watu 7787

    tatizo hujaifikirisha akili yako zaidi ya hapo na kama ungejaribu japo kidogo ungetambua ya kwamba matatizo ya kuwakata bila nafasi ya kujitetea ni madogo kuliko yatayojitokeza endapo watapangiwa kozi zenye priority halafu wakakosa mkopo na wakaamua kuappeal kisha kurekebisha makosa yao,je...
  2. P

    Et ukarabat 50,000 ,t shirt 15,000 mandalz ya kidato cha tano jaman c wizi huu?

    kuna shule zimechoka hata hiyo elfu 50 haitoshi mfano shule ya kigonsera mabweni yamechakaa na kila moja linahitaji si chini ya milion 50 na serikali hata haijali.sasa kumbe nani awajibike kama si wewe mwanafunzi ambae unaishi humo kwa sababu likianguka ni hasara kwako wewe na familia yako...
  3. P

    Shule bora 20 za serikali 2013.

    Mbona iyunga,mbeya na samora machel secondary hazimo wakati iyunga ni ya 126 na mbeya day ni ya 113 na ni shule za serikali, kama wameangalia ukongwe wa shule kama kigezo mbona iyunga pia ilianza kabla ya uhuru?.Naomba unipe ufafanuzi juu ya hizo shule kutokuwepo katika 20 bora wakakati...
  4. P

    Udom udom udom

    Nimefuatilia sana mabishano kati ya udom na udsm ila sijaona mantiki ya hiki kitu wana udsm wamekua wakiponda bila kutoa hoja za kisomi na kufanya nishindwe kujua umwamba wao uko wapi,ninachojua sio kila mtu anaenda udom kwa kukosa nafasi udsm ila inawezekana faculty anayosoma haipo udsm,na sio...
  5. P

    Shahada ya pili (masters) vs Darasa la nne la zamani.

    Sawa elimu yetu si bora sana ila si kiasi hicho cha kulinganisha masters na darasa la nne.Huyo jamaa kavurugwa,inaonyesha hizo degree amechakachua
  6. P

    mzumbe secondary.

    Shule za serikali hata kama ni special ili mwanafunzi afaulu lazima awe mpiganaji la sivyo atafeli.Nakumbuka nikiwa form 2 Tanga tech mwalimu wa chemistry aliingia darasani mara 2 tu mwaka mzima lakini matokeo yalipotoka A zilikua 82 na B za kutosha halafu wanafunzi 7 walipata 100, headmaster...
Back
Top Bottom