Habari Jf,
Mwenye sehemu au taarifa za sehemu ambayo unahitaji mtu kufanya biashara ya chipsi au mgahawa naomba anipm kwani nahitaji sehemu ya biashara
Eneo ni Dar es salaam hususani kuanzia Chanika mpaka Banana, kwa yeyote aliye na sehemu ya biashara anitafute ili aweze kunipangishia
Banda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.