Recent content by pris

  1. P

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Badala washukuru JF imewasaidia kujivua gamba (KUJICHUBUA), sasa wanataka kutushughulikia. Wana JF mapambano yaendelea mpaka nchi tuikomboe kutoka mikononi mwa hawa mafisadi, wanafiki, wazandiki na wavivu wakufikiri. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF!
Back
Top Bottom