Recent content by Pringles

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kidume nimetokwa na machozi mbele ya wife

    Mkea anahasara tena kubwa.yani mibaba sikuizi imefanya fashion!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Nilipenda kumpa ya aliyeniunganishia.c ya tayari ndo maana nikaja hapa kuomba ushauri kabla sijampa hiyo number ya tajiri
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Sijapenda kabisa.yani ungenidharau mm nisingekujibu jeuri.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Asante na mungu ndo anaejua yote.nina imani mungu atanitangulia kwakila jambo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    We ulishawai kutoa rushwa ya ngono au kuomba?kama yes kwako!mm c waivyo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Nimekutumia hiyo private sms ili uelewe usikurupukie tu mambo.sijapenda kuanika mambo yakifamilia hadharani.kila m2 anajua matatizo yaliyomo ndani mwao.na unapoongea mbele za watu unachagua yakuongea c yote yakuongea mm si mpumbavu kama unavyofikiria nina 24yrs.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Ndio bora unyamaze.maana kunamijitu mingine inajiona ipo sawa kila jambo.mm nimeomba ushauri badala unishauri kinachofaa unaanza kuleta dharau mpaka kwa mama angu.unafikiri nitakuacha?nakumaliza tu!ungenishauri kwa njia nyingine sio kuleta dharau hapa.kamzarau mkeo anaekuvulia ch*p c mama angu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Hapana ninapofikia nikwa ndugu yangu.ndo maana sina wasiwasi na ilo endapo kuna baya litatokea.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    Kumbe kimekuuma eeh!uliposema mama yangu anakichwa kama changu uliona sawa.nawe ukome kutoa lugha zakipumbavu kama hujaelewa kitu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    muajiri nimwanamke c mwanaume.huyo alieniunganishia ni shangazi yake
  11. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    kwasababu nimvivu wakufikiri ndo maana umung'unyi maneno.na unamafikirio finyu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    sijawai hata siku moja nando mara yangu ya kwanza kufanya kazi.nasiwezi kufanya ivyo kwani najiheshimu sana.ni bora nikaange mihogo kuliko kuutoa utu wangu kwa vitu vyakupita
  13. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    kwa bahati mbaya sijabarikiwa tabia izo.nimtu ninaejishimu sana.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    mwajiri nilishaonana nae na mshahara tulishakubaliana.kilichobaki nikuanza kazi tu.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Je hili nisahihi analotaka kufanya baba yangu

    usilolijua nisawa na usiku wagiza.baba yangu nimtu asiependa maendeleo.kwani nimeshawai kutuma cv kwenye company kubwa sana hapa nchini nanikaitwa kwenye interview.na nilimueleza kama mzazi wangu akasema nimpe number ya iyo kampuni walioniita nanikampa.chakushanga nae ana akili kama zakwako...
Back
Top Bottom