Recent content by Principledmind

  1. P

    I need a born again husband

    Tabia huwa haina rangi wala kabila. Kuna wachaga wakarimu kama ambavyo kuwa wasukuma wachoyo na wabahiri. Ukitaka kutumia akili zako tumia kwa asilimia mia moja kwa umakini na uangalifu, lakini pia ukitaka kumtumaini Mungu mwamini kwa asilimia zote, huwa hachanganywi na hapendi kuchanganywa...
Back
Top Bottom