Recent content by Princetaffa

  1. Princetaffa

    JamiiForums Hakikisha kila unachofanya ni maendeleo kwako badaye

    Hakikisha kila unachofanya ni maendeleo kwako badae. Acha kuchoka mapema, jiangalie wangapi wapo nyuma yako wanakutegemea wewe. Usichoke muombe Mungu huku ukizidi kupambana. Hata jiwe huvunjwa kwa jiwe, huu ni wakati wako sasa. By princetaffa
  2. Princetaffa

    JamiiForums Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa

    Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa. 1) Amka na kuwa makini katika kila jambo utalofanya ila liwe la kukuengezea uchumi. 2) Usikubali kukatisha tamaa, maisha bora yanahitaji uvumilivu. 3) Jiangalie mara mbili wewe unataka kuja kuwa mtu wa dizaini gani, ukipata jibu basi...
Back
Top Bottom