Recent content by princess square

  1. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    Ushauri ndio kitu muhimu kinachotakiwa hapo umeongea vyema boss. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    Vipi ukiwa na pesa alafu ukafungwa akili ya utambuzi kwenye mpenzi au mke sahihi...? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    Ushauri wako boss? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    Kweli kabsa boss. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    Boss unataka kuniambia nawe ndiyo formula yako ya maisha? Je unaifurahia..? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    [emoji1787][emoji1787] ni hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    [emoji2][emoji2] kama sio mkristo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. princess square

    Kifungo hatari sana katika maisha

    Ni kheri ufungwe Gerezani kuliko kufungwa akili ya kujitambua. Ukiwa Gerezani utakula, ndugu, rafiki na jamaa watakutembelea na kukutia moyo, siku moja utakuwa huru hata kwa msamaha wa Rais. Lakini ukifungwa akili ya kujitambua mabaya yote kwako huwa mema, na mema yote kwako huwa mabaya...
  9. princess square

    Naombeni msaada wa kuchangiwa chochote ili kufanikisha jambo hili wana JF

    Sawa nakushukuru kwa ushirikiano wako kaka yangu, mchango wako unahitajika kadri utakavyoguswa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. princess square

    Naombeni msaada wa kuchangiwa chochote ili kufanikisha jambo hili wana JF

    Sawa kaka yangu nashukuru kwa ushauri mzuri, mwanafunzi ni wa kiume. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. princess square

    Naombeni msaada wa kuchangiwa chochote ili kufanikisha jambo hili wana JF

    Asante kwa ushauri kaka yangu. Nilifikiri atoke boarding na kuwa day ili baada ya masomo aweze kujishughulisha na vikazi ili aweze balance kidogo. Mawazo yangu yanaweza kuwa sio sahihi jamani msisite kunishauri na kunisaidia. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. princess square

    Naombeni msaada wa kuchangiwa chochote ili kufanikisha jambo hili wana JF

    Tsh. 310000 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. princess square

    Mwandishi wa habari Idhaa ya Kiswahili ya DW akutwa hajitambui ndani ya basi

    Pole kwake, lakini tusimlaumu sana hii dunia ina mambo mengi yanayoonekana na yasiyowezekana, huenda yupo makini sana lakini alizidiwa kete. Kawaida jambo linapotokea kwa mtu ni rahisi sana kuliongelea pindi unakutana nalo wewe sentensi huwa,,,sielewi kilichotokea nilimeshtuka nipo hapa. Sent...
  14. princess square

    Naombeni msaada wa kuchangiwa chochote ili kufanikisha jambo hili wana JF

    Ndiyo hiyo ni kwa mwaka, ni chuo cha serikali. Lakini pia kuna mahitaji mengine hawajaweka item of money, mfano: uniforms in general. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. princess square

    Naombeni msaada wa kuchangiwa chochote ili kufanikisha jambo hili wana JF

    Ndugu fuatilia majibu yangu vielelezo vyote nimeweka, mpaka account namba ya chuo, control number na code. Hapo utapeli upo wapi? Ni mbaya sana ukamuhukumu mtu lakini badae ukatambua umemuhukumu bila kosa, tuwe na kiasi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom