Recent content by Princeshizo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie mawazo huyu dogo tafadhali!

    kwa ushauri wangu mimi nibora huyo dogo aende veta huenda mungu akamuonesha njia.
  2. P

    JamiiForums Tanzania nawaombeni wale wa mount meru wanipe msaada

    jamani ndugu zangu mimi ni mmoja kati ya wliochaguliwa kujiunga na mount meru university lakini kinachonipa mawazo nikwamba hadi leo sijaiyona tarehe ya usajili wala tarehe yakuanza masomo , hivi nikwamba hawajaweka au mimi mwenyewe nimeshindwa kuzigundua ziko wapi? hebu nisaidieni kwa hili.
Back
Top Bottom