Recent content by Prince05

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vituo vya polisi Tanzania kukataza parking magari ya wananchi/wateja

    Kwenye vituo vyetu vya polisi siku hizi kumekua na tabia ya kukataliwa kupark/kuegesha gari eneo la maegesho. Eneo lina nafasi ya kutosha hakuna magari ila unaambiwa hapa hauruhusiwi kupaki. Sasa mwananchi ameenda kituoni kupata huduma anakatiliwa kuegesha gari hii haijakaa sawa. Mbaya zaidi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ardhi Tabora wanapeana viwanja wao kwa wao na matajiri wanaojuana nao

    Mapori yapo. Njoo nikupe hekari 5 za bure. Maendeleo yatafika baada ya miaka 80. Issue ni michongo yao. Hivi ulishawi hata kununua kiwanja wewe? Ulishwahi kujua utaratibu wa tausi unavyofanya kazi? Ungekua unajua ungeelewa nachoongea ni UPIGAJI TU
  3. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ardhi Tabora wanapeana viwanja wao kwa wao na matajiri wanaojuana nao

    Huwezi amini wametangaza viwanja kwenye mfumo wa tausi kama kutimiza majukumu tu. Wametoa siku tano za preview. Viwanja vilitakiwa kuanza kununuliwa tarehe 5/06/2026 saa nne kamili asubuhi. Nimekaa kwenye mfumo saa tatu na dakika 50 ili kuwahi kununua. Lakini saa 10:00 inafika papo hapo eti...
  4. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya bomba yanayotoka baadhi ya maeneo mkoani Tabora yanazidishwa dawa na kufanya maji yanakuwa na harufu kali sana

    Hili tatizo limekua sugu na la muda mrefu. Tabora tunatumia maji ya vyanzo tofauti. Kuna maji ya mradi wa ziwa Victoria na maji yanayotoka bwawa la Igombe. Sasa haya maji yanayotoka bwawa la igombe kupitia TANK LAKE KUBWA la mlima wa FILTER uliopo kazehil Wamekua wakizidisha sana dawa kiasi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Mwanza agoma kutoa risiti ya EFD na kujibu anavyotaka

    Mfanyabiasha huyu baada ya kufanya malipo. Nimempa TIN ya ofisi atoe risiti alianza kufoka na kuonesha ubabe.
  7. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
  8. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Wewe ndiye mjuaji usiyejua. Hapa tunazungumzia gari binafsi ya askari wa kawaidia kuweka weka namba za hovyo. Au wewe unashirikiana nao kwenye hizo deal zenu haramu? Ndio maana mkistaafu mnakua na hali mbayaaaaaa. Misiba yenu haina watu. Unyanganyi na dhulma vinawatufuna. Karibu tena.
  9. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Hizi ni baadhi tu. Tutaendelea kuzispot ziko nyingi sana. Usajili wa plates duniani HAKUNA. ( O, I )
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Hizo ni zile zinazo taifishwa kisheria na ndio maana zina rangi ya polisi. Ungeelewa mada ungeelewa. Hizo tayari ni Mali ya serikali sio mtu binafsi na ukiziona tu unajua ni polisi. Suala hapa ni gari binafsi. Dar , mwanza arusha zipo harrier , fortuner, probox nk. Zote zina rangi official...
  11. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Jeuri yote mshahara laki nne na pesa za dhulma na wizi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Kuna vi mbuche vi colora, ist, kluger hizo zote haziwezi milikiwa na serikali. Lakini tunaishi nao tunajua kama ni zao
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Huu ni ushamba wa Tanzania tu. Nchi zilizoendelea hazina ujinga huu. Askari wa kawaida anataka kujidai usalama. Wengine wanafanya magendo ipo watajulikana.
  15. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei. Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi. Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number, mwezi ujao namba hazieleweki. Kuna wakati unakutana na gari ya mwaka 2024 ila nina namba A series...
Back
Top Bottom