Nilichogundua baada ya kusoma hii debate ni kwamba wengi mna hofu ya kufikiria nje ya box kwa kukwepa kukufuru kama mlivyo elezwa vitabu na viongozi wa kidini lakini inabidi ifikie wakati tuzipe akili zetu nafasi ya kufikiri zaidi na sio kukubali majibu ya watu wengine kwa maswali tuliyoshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.