hili ni tatizo le2 ss wasomi wa nchi hii..kila siku tunawapigia kura viongoz walioishia shule za msingi wasiovijua vipaumbele vya taifa hili...wapo wanaovijua lakin si watendaji..jukumu le2 kama wananchi ni kuwa makin na viongoz tunaowachagua..ukiangalia matumiz ya serikali unaweza kuangua kilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.