Hello wana jf habarini ya majukumu.... Samahan jaman mim nina matatzo ambayo nimeende hospital imeshindikana pia nikajaribu kwenda kwa wachungaji pia ndo inazidi.... Sasa naomba mnisaidie kwa anaejua mganga wa tiba mbalimbali, ambae yupo mkoan mbeya au mikoa ya karibu na mbeya tafadhal naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.