Let me correct this debatable topic. We don't have to talk about illegality and it's illegal, instead we have to talk the solution for unwanted pregnant.
We already know that abortion is for school protection from expelled and keeping the parent under obligation to take care of the new born...
namalizia kwa kusema kua ibara ya 30 ya katiba ya Jamhuri ya Tanzania inaweka mipaka katika kutekeleza haki ya kuishi, soma vizuri ibara 30.-(2) (a) hadi (f)
Hivyo basi hukumu ya kunyongwa haija pitwa na wakati kwakua kufanya hivyo ni kuonya na kulinda haki ya mtu mwengine isipotee burebure...
namalizia kwa kusema kua ibara ya 30 ya katiba ya Jamhuri ya Tanzania inaweka mipaka katika kutekeleza haki ya kuishi, soma vizuri ibara 30.-(2) (a) hadi (f)
Hivyo basi hukumu ya kunyongwa haija pitwa na wakati kwakua kufanya hivyo ni kuonya na kulinda haki ya mtu mwengine isipotee burebure
Kwa kweli hukumu ya kifo ndio hukumu hasa inayofaa kwa kosa la kuua, ukizingatia kua Duniani kote viongozi wa Serikali na wale wa taasisi binafsi, na wale wadini wanapambana kila leo kudumisha na kusisitiza haki za binamu.
Ikiwa haki ya msingi ni ile ya Mtu kuheshimiwa uhai wake, hii inamaana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.