Kwa Sasa camera zipo za ubora tofauti tofauti mkuu hivo ni maamzi ya bank husika ama mtu husika kuchagua ubora anaoutaka yeye (kiufupi kwenye Cctv Kwa Sasa unapewa unacholipia) ila camera Bora zipo sana tu!!!
👉 Kwanza hizi camera Zina Zina quality Bora yenye 2MP
👉 Na zinaonesha rangi halisia iwe mchana ama usiku
👉 Ina technologia ndani yake "Smart Hybrid Light" mahususi Kwa ajili ya kuimalisha ulinzi na kukupa machaguo zaidi kwenye suala zima la mwanga wa video zinazorekodiwa.
👉 Zinapatikana Kwa...
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni na mpaka kufikia Mwaka 2020 rekodi zinasema video door bell milioni 7.9 zimefungwa Kwa watu mbali...

Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani)
Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako wa muhimu muda wote.
✨ Hata maeneo ambayo mtandao ni korofi basi hii simu ni suruhisho la kudumu...
Hujakosea mkuu pisi moja ni Tsh 165,000 ikiwa na memory card yake 32GB (Upekee na utendaji kazi wake ndo umeamua bei)
Ila dukani tunazo camera za kuanzia 45,000 hivo hiyo ni bei ya hii camera tunayoizungumzia hapa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.