Recent content by Primadonna

  1. P

    JamiiForums Maelezo ya kisayansi kuhusu kulala kupooza

    MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA. Kwa mujibu wa Ryan Hurd kwenye makala yake ya "The sleeping paralysis report" kulala kupooza ni hali impatayo mtu pale muingiliano wa taswira za kwenye mazingira ya ndoto kutokea katika mazingira ya mtu akiwa macho au anaufahamu na mazingira yake...
  2. P

    JamiiForums Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

    On my side this is true and most of the times Iam misunderstood by some people...Mwanzoni I was really depressed kutokana na mazingira yangu yaliyonizunguka but nlivyopata knowledge kuhusu introverts na kutambua na kawaida (I'm not insane) pia kukutana na baadhi ya watu walio Kama mimi, it gave...
  3. P

    JamiiForums Neuroplasticity

    Jinsi Ubongo unavyobadilika kukabiliana na Mazingira. Ubongo wa binadamu umejengwa/umeumbwa kwa namna ya kumwezesha aendelee kuishi/kuwepo (survive) katika nyakati ngumu au kipindi cha hatari. Lara Boyd daktari na pia mtafiti wa mambo yahusianayo na ubongo wa binadamu anasema, "binadamu pamoja...
Back
Top Bottom